Duration 57:25

LIVE: YANGA VS AZAM - UCHAMBUZI KABLA YA MECHI

29 100 watched
0
162
Published 21 Jun 2020

Leo inapigwa mechi moja kali sana kati ya Yanga na Azam FC kwenye Dimba la Taifa, dar es Salaam, Mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara VPL. Kuelekea mchezo huo, pata uchambuzi kutoka kwa Ally Mayay na Dominick Salamba, wakiwa na Patrick Nyembera Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 5