Wakili Charles Kanjama ameondolewa kwenye kesi kuhusu rufaa za kupinga mchakato wa BBI kabla ya kuanza kwa kesi hiyo hapo kesho. Jopo la majaji watatu liliamua kuwa jaribio la Kanjama la kutaka ashirikishwe kwenye kesi hiyo liliwasilishwa katika mahakama ya rufani bila kuzingatia utaratibu unaofaa kwani mahakama kuu vile vile ilikuwa imemnyima fursa hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNews #Kenya