Duration 4:39

Jinsi ya kutengeneza mafuta ya aloevera yanasaidia kukuza na Kurefusha nywele na nimazuri kwa ngozi

10 421 watched
0
109
Published 14 Jun 2020

Karibu tena wapenzi kwenye video nyingine Leo nimetengeneza mafuta ya aloevera ambayo ni Mazuri sana kwa Kukuza Na kurefusha nywele na kusaidia nywele kujaa kichwani. Pia haya mafuta unaweza kuyapaka usoni au mwilini kwasababu aloevera ni nzuri na ina faida nyingi sana. Video ya maji ya mchele kwa Kukuza nywele 👇🏽👇🏽💕 /watch/oaiLvOrPwkXPL Face mask nzuri sana kwa ngozi kuwa laini 👇🏽👇🏽 /watch/ERmyAnGzImVzy Unaweza kunipata kwa Instagram: bariki.k Email adress for sponsorship or business: bariki. Karoli@gmail.com

Category

Show more

Comments - 36