Duration 5:14

MTWARA INAZIDI KUBADILIKA, BARABARA ZA KISASA, UJENZI WA SOKO JIPYA UKO TAYARI

13 442 watched
0
94
Published 2 Oct 2020

PART 2 kwenye Kipindi cha TAMISEMI YA WANANCHI MTWARA, Masoud Kipanya kaingia, Mtwara usiku ni kwenye TAMISEMI ya WANANCHI, Miradi ambayo inasimamiwa chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Leo tumeonyeshwa Soko la Kisasa wanalijenga Mtwara, Pamoja na Barabara za Kisasa, Usiku hakuna kufunga Biashara Taa mpaka Asubuhi @ortamisemi #TAMISEMIYAWANANCHI

Category

Show more

Comments - 37