Duration 5:28

ALICHOKISEMA NAIBU WAZIRI WA UWEKEZAJI, KWENYE MKUTANO WA ATE..

288 watched
0
0
Published 24 Jun 2021

ALICHOKISEMA NAIBU WAZIRI WA UWEKEZAJI, KWENYE MKUTANO WA ATE.. Katika kukabiliana na changamoto ya Ajira nchini Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji imeahidi kuondoa kero kwa wawekezaji nchini ambazo ni pamoja na changamoto za upatikanaji vibali vya kazi na ukazi, Ardhi na ukusanyaji kodi usio rafiki. Akizungumza katika mkutano wa 62 wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, William Ole Nasha, amesema kuwa sekta binafsi ndio kiini cha uchumi endelevu. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 0