Duration 35:36

NANDY: Bill Nas Hatupo Pamoja / Zuchu / Hawezi Kufika / Nyimbo imebuma / Utampata Beyonce

121 735 watched
0
2.5 K
Published 22 Jul 2021

Nandy kwa mara ya kwanza ameongea kuhusu kuachana na Bill Nas na kuvua pete ya uchumba aliyovishwa, Pia Nandy ameongea kuhusu story za kushindanishwa na Msanii Zuchu, Mipango yake ya Kufungua lebo na Kumtangaza msanii mpya chini yake. Ameongea mengi ikiwepo kusema nia yake ni kuwa msanii namba 1 Afrika nzima kwenye na kumpita Yemi Alade list ya Top 5 ya wasanii wa kike. Ametumia zaidi ya Tsh million 40 kufanya wimbo na Koffi Olomide, #LilOmmy #Nandy #Podcast #SwahiliRadio #Audiomack Stream Audio: https://audiomack.com/audiomack-africa/playlist/swahili-radio-podcast Download Audiomack App on your mobile device Android: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.audiomack iOS: https://apps.apple.com/us/app/audiomack/id921765888?ls=1 Let's Connect http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy https://mobile.facebook.com/lilommyfanpage https://lilommy.com/ Hakikisha Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter.

Category

Show more

Comments - 350