Duration 4:55

MBINGU ZILIFANYIKA_Kwaya ya Mt.Agustino_Manundu Korogwe

2 095 141 watched
0
4.2 K
Published 2 Jan 2020

Kwa neno la Mungu Mbingu zilifanyika. Ni maneno yanayoimbwa na kwaya hii ya Mt. Agustino kutoka Manundu Korogwe, Jimbo Katoliki la Tanga.Wimbo huu ni Utunzi wake Mussa Charles Mabogo, na Umerekodiwa katika Studio za RAJO Productions (Audio & Video)Tunakukaribisha uweze kusikiliza maneno matamu na kutazama ili mwisho wa siku ubarikiwe na kupata Neema za Mungu.Huu ni wimbo utakaofanya Mwenyezi Mungu aweze ku Mimina Neema zake kwenye maisha yako kwa kutambua ukuu wa Mungu. Wasiliana na kwaya kupitia namba: +255 653 082 026 au +255 755 082 026 Wasiliana na RAJO PRODUCTIONS kupitia namba +255 758 988 827 #kwayakatoliki

Category

Show more

Comments - 452