Duration 23:41

LIVE N02: MAZINGE NA WACHUNGAJI KUTOKA KENYA

260 818 watched
0
1.4 K
Published 6 Sep 2021

Jiandae na maisha ya milele ya akhera kwa ibada na kusikiliza muongozo wa masheikhe mbalimbali hapa Miraj khan online ⚫️ WASILIANA NASI MIRAJ KHAN ( WHATSAPP +255 713 730 907), ( +255 766 445 024) ⚫️ Email: buikhan21@gmail.com

Category

Show more

Comments - 516
  • @
    @rbagha52802 years ago This sheikh is fantastic and amazing! May almighty allah bless him. He is indeed blessed by the lord of all mankind. Christians, please listen to him without . ...Expand 1
  • @
    @officialcylas74452 years ago Amesahau kusoma hii
    Mathayo -23
    [21]
    Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
    [22]Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata.
    [23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
    ..
    ...Expand
  • @
    @innocentndikumana89283 years ago Asw alykum fresh sana sheikh mazinge uko vizuri. 7
  • @
    @igurusitv65533 years ago Hii mijadala Haina maana yoyote kama hawasemi kweli ya maandiko, wapo kwenye kufundusha habari za Mungu, lakini wanasema uongo ukimsikiliza mazinge hapo mwishoni, Kwa mtu mvivu wa kusoma vitabu, unaweza kudhani kaongea point ya maana, kumbe ni mwongo mkubwa. Kaunganisha tukio jingine kabisa wala haihusiani na hoja. Tufundisheni kweli ili tuchague wapi ni sahihi Kati ya uislamu na ukristo. Someni hiyo matayo mpaka 25 utajua uongo wa mazinge .. ...Expand 4
  • @
    @salongomuyoboke5143 years ago Ebu ndungu yangu ustadh, yesu hakutamka rudi nyuma shetani kwakuwa petro ali muita mwana wamungu, ila alishawishi mawazo yakumkatisha tamaa yesu asiende ya kwanza petro ahakikisha kwamba yesu ni keisto (matayo 16-13_17)
    ya pili ni yesu afafanua njia ya msalaba (matayo 16-21-23) hapa yesu anakemea fikra yakumkatisha tamaa ili aogope kutimiza kile kilicho mleta. Na ndipo akasema nenda nyuma yangu shetani.
    yesu hakutamka hivyoameitwa mwana wa mungu, ila alimkemea kutokana na ushauri petro alikuwa amemtolea wakutoenda yerusalema.
    conclusion: jameni msidanganye watu kwakutafuta ushindi ktk midahalo bwana. Someni taratibu pia jaribuni kuelewa mnayo yasoma
    .
    ...Expand
    6
  • @
    @edwardntamaboko34142 years ago Aleluyawapotoshaji wapo hata hukuuwepo wako endelea kumhubiri kristo karibu kigomakupitia uwepo wako.
  • @
    @saadiashariff53773 years ago Wallahi, we ask allah to protect sheikh mazinge, and all. 10
  • @
    @alisaidi26203 years ago Masallah allah, allah akulipe dunia na akhera ustadh mazinge. 7
  • @
    @barkaabdallah24073 years ago Takbir
    allahu akbar
    allah akuhifadhi sheikh wetu
    nakupenda sana.
    6
  • @
    @djindonomodernmrbean30502 years ago Nyie waislamu someni kitabu cha mathayo 17: 5 mungu awajalie kuelewa. 1
  • @
    @cabylake2320last year Mashaallah mungu akuzidishie umri mazing. 1
  • @
    @enuelabunimkali95293 years ago Mr ndacha pongezi xana jina la bwana mungu wetu na bwana yesu lipewe sifa! 6
  • @
    @modijuma31543 years ago In sha allah nakuombea shek mazinge allah akuajalie maisha marefu utupiganie waislam amiin thuma amiin. 3
  • @
    @isaacbangaya83543 years ago Nilikuwa ninashauku sana siku moja pastor ndacha akutane na mazinge maana naona mazinge anapend sana kuwaonea wachungaji utopolo nakujiona yeye ni mwamba kumbe ni mpuuz mmoja ambaye anapotosha watu. 3
  • @
    @andikaroibrahim19093 years ago Allah akuhifadhi mazinge unatumia vizuri uwezo aliokupa allah. 3
  • @
    @rahmamubaraq24842 years ago Sema shekh mazinge allah akulinde na azidi kukupa umri mrefu kusudi dini izidi kukuwa na tuelimike sie tusio jua wallah raha kuwa muslam napata raha neema kuwa muisilam.
  • @
    @ommygraphics43553 years ago Mashaallah shekhe mazinge allah akupe maisha marefu ili utupiganie waislam. Amiin. 10
  • @
    @KADALAtv2553 years ago Wape hao wamezoea kugeuza mambo hawamuogopi mungu. 1
  • @
    @malcomx40672 years ago Mathayo 17: 5
    alipokuwa bado akisema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, huyu ni mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.
    2
  • @
    @samuelngogo55723 years ago Wanaokukimbia mapadiri sio ndacha, be blessed ndacha. 10
  • @
    @neemaadam92562 years ago Mara nyingi yesu alisema yeye ni mwana wa adamu. 1
  • @
    @petermagoye83243 years ago Mazinge naoan anatokwa na povu tuu hana uwezo wa kujibu hoja kabisa. 4
  • @
    @omaraliy8207last year Ndacha umuongo uyo pro mazinge ni kichwa humuwezi ata cku moja. 1
  • @
    @hemedmteta12012 years ago Mungu asaidie sana, waislamu wengi, hawaelew wanakalili maandiko, kwahyo wanaimba2, viarabu kichwani hamna kitu. Mioyoni mwao halikai neno ndio maana wakiongea . ...Expand
  • @
    @sarahkudoyi43712 years ago Proud christian ndacha wahubirie wao waokoke na waache kufuga majini na mapaka za wachawi. 1
  • @
    @ernestjohnbosco20533 years ago Pole sana mazinge mungu akurehemu mana unaropoka tuu ila hujui lolote, omba sana mungu akusamehe. 5
  • @
    @abdulrehmanriadha65743 years ago Ama kweli mazinge ww n kiboko wa makafiri mungu ukuweke pamoja na mtume muhamad s. A. W. 18
  • @
    @maryaloyce57152 years ago Kuna tofauti kibwa sana hapo. Ndacha anafundisha. Mazinge anatafuta ushindi hskubali kuelewa na maandiko.
  • @
    @muhammadkipangatv26742 years ago Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali. 1
  • @
    @ludalberinger4172 years ago Ukimsikiliz huyo sheik anajikanyang mpk anamkashifu mungu ss kwan yey anamuabudu mungu gani. 1
  • @
    @111dudi2 years ago Nashauri, wasimamizi wapige marufuku kwa wahadhiri kubadili maneno katika aya. Ndacha muongo bila haya.
  • @
    @dodwiedwin39442 years ago Uislam ni dini ya ibilisi lkn hawajui kwa sasa. Ila siku zinakuja mtatamani kuokowa kuwa wakristo lkn haitawezekana. 1
  • @
    @florianntulo57312 years ago Amani itawale kila mtu abaki na imani yake. 1
  • @
    @thomashariohay73883 years ago Hapa kilichotokea mwenye maneno kakutana na mwenyehata wakikataa ukwel unaoufundisha leo ipo siku watajutia. 1
  • @
    @joachimsamwel8123 years ago Mazingewaislamu. Mbona mungu huyu ndio mwanangu mpendwa msikilizeni yeye. 6
  • @
    @ludalberinger4172 years ago Jenga hoja za msingi kabla ya kujibu swali. 1
  • @
    @elbaricktv16322 years ago Waislam vichwa vigumu sana kuelewa vitabu vya mungu hatukatai kwamba quran ni kitabu takatifu na biblia pia kitabu takatifu lakn mazinge anatetea tu maslah ya uislam lakn ukwel anaujua kua anapoteza wafuasi wake.
  • @
    @ludalberinger4172 years ago Mungu anamtoto aseme mwenyew alo ndach atawaliza sana. 1
  • @
    @ngalasafari83213 years ago Si lakn waislamu reasoning yenu iko chini sana,
  • @
    @kellimjanja1803 years ago Mungu akufungue macho yakiroho uone mbali majini yamekuingia kindaki ndaki mungu akuokoe. 3
  • @
    @lamerckmsuya55132 years ago Anachoniuzigi mzinga ni kupindisha maandiko, huo ni upumbavu soma ipasavyo, sio kutafutahalleluya aaa.
  • @
    @joelshow9053 years ago Kila mtu na imani yake hapo hakuna siku wakristu na waislam watakutana. 1
  • @
    @kibasiwakibasi50702 years ago Balikiwa mchungaji tunakazi ya kuwaokoa ndugu zetu.
  • @
    @methodkakoni44653 years ago Mazinge hapo unajitetea kiswahili kime kuchanganya maneno yako mazinge ya mtu asiye muelewa. 1
  • @
    @muhashamkhalil73213 years ago Bwana ndacha futa hilo andiko jeremia8, 8.
  • @
    @wilsonlameck40469 months ago Kinachoshangaza mazinge anakataa akina mathayo siyo mungu! Sasa mbona bado ananukuu maandiko yao akina yohana?
  • @
    @edinahkemuntomainya65513 years ago Waislaam karibieni jeanam kabisa kwasababu mmekataasana ubishi nambinguni kwasababu umepata max kwa kupinga bali kwa kwamba yesu ni bwana na mwokozi wa maisha ya wanadamu. ...Expand
  • @
    @timotyhkitirwa54643 years ago Mr. Ndacha you are surely great. God bless you. 3
  • @
    @bro.okellor64853 years ago Itabidi waokoke wanajifanya eti wanajuwa mola bali wanaabudu dini yao wana judge wakritu eti ni wakafiri mungu awahurumie sana. 8
  • @
    @elbaricktv16322 years ago Mazinge akir hamna kabisa yan anajibu kutoka kichwan hafat vitabu vyamungu.
  • @
    @emmanuelngewa88943 years ago Huyu mchungaji anawafundisha waislamu, na waislamu mngejua kuwa kitendo cha kuweka midahalo na wakristo inasaidia kuwafumbua macho washiriki wenu maamuma . ...Expand
  • @
    @gilbertkalumefikikombe62123 years ago Mizinge unadanganya wazenzako na mawazo yako ni maisha yako kama unaeza kupinga hilo la kuwa yesu sio mtoto wa mungu wewe tayari umekana hata hiyo.
  • @
    @feyzungu6333 years ago Mchungaji wala hutoelewa maisha yako mungu akisema wote ni duniani ni wana wa mungu lakin nyinyi munataka kufos kua lazima mungu awe kazaa na mariamu hilo ndo usilolielewa. 2
  • @
    @muhammadmuhaznun3802 years ago Sasa kama yesu ni mwana wa mungu ni nani jamani mnatukoroga.
  • @
    @AaAa-cm6li3 years ago Ndachu ana fujo kweli hakuna moja amekutaka baba.