Duration 4:00

Mtumishi wa Mungu Beatrice akimsifu Mungu baada ya kutumiwa na Mungu kuwafungua wenye mapepo

292 watched
0
1
Published 25 Jun 2021

Mtumishi wa Mungu Beatrice akimsifu Mungu baada ya kutumiwa na Mungu kuwafungua waliofungwa na mapepo siku ya Jumamosi 19.06.2021. Huduma ipo Sinza Mugabe karibu na Shekilango jijini Dar es Salaam Tanzania kwa mtumishi wa Mungu Beatrice

Category

Show more

Comments - 0