Duration 5:31

PENZI LA HARMONIZE NA KAJALA LAKOLEA NI BEGA KWA BEGA, WAZUNGUMZA “SISI NI FAMILIA”

80 778 watched
0
484
Published 25 Feb 2021

Usiku wa kuamkia Leo Harmonize na Kajala waliohudhuria shughuli ya uzinduzi wa application ya simu inayofanya kazi za kibenki, Harmonize akiwa kama balozi.. na wakati wa shughuli hiyo Harmonize hakuacha kuoneshana mahaba yake ya Mpenzi wake Kajala.. Play hapa kutazama ilivyokuwa

Category

Show more

Comments - 187