Duration 5:10

NI DK TULIA TENA, ACHAGULIWA KUWA NAIBU SPIKA KWA KURA 350, ALIHUTUBIA BUNGE

1 475 watched
0
3
Published 12 Nov 2020

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa pamoja wamemchagua Dk Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge nchini humo kwa kura 350 huku akiahidi kuwa atahakikisha anatekeleza majukumu yake kwa weledi

Category

Show more

Comments - 1