Mwimbaji wa nyimbo za Injili Uwezo Alphayo akataa kuongozwa na watu, asema anataka aongozwe na BWANA.
Album ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Uwezo Alphayo wa jijini Arusha imeonesha dhahiri kwamba hataki kuongozwa na watu na hivyo anataka kuongozwa na BWANA kwani ameipa jina linalokwenda kwa "NIONGOZE BWANA" TAZAMA.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Mwimbaji Uwezo Alphayo akataa kuongozwa na watu, asema anataka aongozwe na BWANA.: