Duration 46:4

MZEE WA NGENGA AFUNGUKA YOTE KUHUSU USHOGA | DR KUMBUKA | SHOGA MIMI | DIDA

35 120 watched
0
226
Published 5 Jul 2020

#Drkumbuka #MzeeWaNgenga #MaximuTv

Category

Show more

Comments - 106
  • @
    @rehemaothman21854 years ago Dr kumbuka yupo juu wengine watasubili sana tu nampenda Dr kumbuka akeee 10
  • @
    @verociousagnerus97934 years ago Weweeee kumbuka nomaaaaa Yani bado hajatokea 15
  • @
    @mackynicky58324 years ago Mzee wa ngenga kwa dr.kumbuka utasubili sana, Kumbuka anawakalisha woteeeeeee, Shikamoo Kumbuka🙌🙌🙌🙌🙌🙌 6
  • @
    @Atb3004 years ago Uyo Hassan ally mwenyew shoga alikuaga ostadhi wetu madrasa shujai tandale mbuyun tulipomgundua tukamtimua na alishawahi kulala na bwana WA RFK yngu uyo rafiki yngu ampendi mpk Leo anamuita mke mwenzake 2
  • @
    @bintimanazil17984 years ago Love uuuuuu ngengaa napenda hio thatha 2
  • @
    @pessajasho31094 years ago Ulimi wake mzito km wangu🤗🤗🤗mpia najivunia hv nilivyo 1
  • @
    @mullamtupa91164 years ago Tuache unafki kumbuka anajua kuongea nayupo kiume zaidi kumbuka noma 2
  • @
    @husnahassan62894 years ago Hahah wa kwanza tena Naombeni like zangu plz Kwa hawa watu mie no comments 8
  • @
    @khadijahali48374 years ago Kwhy hy ndo yp times fm, bc mzee wa ngenga unajua kuongea lkn ktk kushindana na kumbuka hpn 6
  • @
    @abasadmtopa62464 years ago We kweli co rizki unapenda mlenda? Ndomana uko lainiiiiiiii 6
  • @
    @Zainab-sq1tc4 years ago Ww nawe ujioni.... Taarab zimekushnda cjui 6
  • @
    @seifhabib59874 years ago At mwanaume Mzima at ananichamba,Karibu Zanzibar uje kulishwa urojo na Kahawa hapa Malindi au Simba chai.yani utainjoy kweli Dada. 4
  • @
    @shakilamasoud29834 years ago Ila Ngenga, na Kumbuka wamefanana utadhani nduģu. 1
  • @
    @mariamali18874 years ago 😂😂😂mke akikukosea Mpigie bao 6 umeisikia hiyo mume wangu?😂😂👌💯♥️hiyo kali nimeipenda imekaa sawa 6
  • @
    @baimarrajahbuayan62374 years ago Umuwez Kumbuka bhan kwanza MI sikuelewiiiiiii🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔 4
  • @
    @aminahhuawei11334 years ago Hahaha haha🤣🤣🤣🤣umeninichekesha kweli aiseeee atii mke akikukosea mpige bao 6 utembe mbelee hii kali kweli🤣🤣🤣😘😘
  • @
    @saadakiyungi64374 years ago Kumbuka ndio habari ya mjini humuwezi hata robo . 7
  • @
    @barikiwa224 years ago Mashoga wawili waki compete na mwanamke kamilifu🤪 1
  • @
    @josemsafi14204 years ago Mzee Wa ngenga Dr kumbuka mdomo wake huko fasta kuliko wewe yani ni km kipaji anacho mdomoni yanamtoka tu 7
  • @
    @mamamussa46583 years ago Sitoacha kukupenda diima hunaongea maneno mazuli sana 1
  • @
    @goodgood93704 years ago Haipendezi mwanaume kujibleach acha huo upuzi wewe ..tabia hiyo ya wanaume wa kongo ..sio wa kenya au t.z... 1
  • @
    @amenaameeena33172 years ago Mzee genga inaonekana wewe sijui shoga
  • @
    @serianjamal82544 years ago 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 miguu imekupasuka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Mgongo umejaa madowaaa 😂😂😂😂😂🤣 mzee wa ngengaa
    1
  • @
    @khadijavassardanis31784 years ago wape wanakuonea donge piga kazi hata mm ningepata nafasi ningejipendekeza kwa watu wenye pesa huna kitu wann umesha kuwa super star achana nao wehi 1
  • @
    @abdulhemedabdulhemed71103 years ago Kwa hali hii ya watu hawa wa 2....Allah atusitiri ss na familia zetu ...mwenye macho haambiwi tazama wangapi mumeona muhogo umevurujika hapo
  • @
    @loner_wolf4 years ago Shahawa mbaya Sana jmn ....Sasa hiki kijamaa hata aibu hakioni eti kishindanishwe kuchamba 😂😂😂
  • @
    @christermelaka56894 years ago Haumuwezi dr kumbuka wewe, gonga like kwa dr kumbuka 1
  • @
    @maryamhamad348511 months ago Ata kama kumbuka kajulikana mwanzo lakini ngenga anamfunika
  • @
    @shaloboy38614 years ago Ningekua mtanzania kura yangu kwa magufuli 5
  • @
    @bbb6nnn5614 years ago Mahaba nisheria my mbon nikitafuta sioni naotafuta sana hiii nyimbo hasani sio siriii my naikubali sana
  • @
    @angelbwija95474 years ago Kwanza PUNGUZA UO MOKOROGO WA BUZA🤣🤣amuache kabisa mume wa DON MASHA,SIMBA JIKE 🤣🤣🤣🤣🤣
  • @
    @mariamabdallah52244 years ago Mtangazaj mchonganish kwa nn unamuulizs sn yy na kumbuka 7
  • @
    @aminattai26764 years ago Sasa hivi umeshazoe ndio maana huogopi tena
  • @
    @khadijavassardanis31784 years ago Waache waseme wewe yako yanaenda waone km pedi chafu dili na mama dangote mama mwenye maisha yake achana na shombo hao
  • @
    @AbduRahman-os2vx4 years ago Kauli yake nimeipenda mpige bao zake sita halafu.uchune. 1
  • @
    @allykutenga28624 years ago ZAHIR hebu tutafutie wa2 wa kufanya intrview sasa huyu jamaa yako ndo kaongea nn?! unaanza ku2kera hivyo......
    Mdau mkubwa wa MXMUM TV frm ZANZIBAR.