Duration 5:21

KARAMUNI KWA IMANI - Bernard Mukasa (Official video) | | SAUTI TAMU MELODIES

54 648 watched
0
428
Published 6 Dec 2021

KARAMUNI KWA INANI Na. Bernard Mukasa Mtunzi (Composer): BERNARD MUKASA Waimbaji (Singers): SAUTI TAMU MELODIES Kinanda (Organist): G.C. MKUDE SEKULU Studio: SAUTI TAMU RECORDS Programmer: SAUTI TAMU RECORD LABEL Executive Producer MUNYWOKI MARTINE MUTUA Lyrics: KARAMUNI KWA IMANI - Bernard Mukasa 1. Yumo humu mwokozi Yesu, kwenye mzabibu na ngano tamu; ni mpole, ni mwema, ni uzima. Kiitikio: Waamini simameni, Polepole kwa imani; Jongeeni karamuni, Mpate kumwonja mwokozi Yesu. 2. Ekaristi ni jina lake, pamoja nasi Mungu mwenyewe; Ndani yetu nasi ndani yake. 3. Alitoa jioni ile, Kwa kumbukumbu yake milele; Tule, tunywe, wote tuokoke. 4. Tugeuze maisha yetu; yakafanane na meza hii; Huruma, upendo, msamaha.

Category

Show more

Comments - 46