@ponsianamataka46073 years agoAsante mungu kuniumba na kunifanya mkristu mkatoliki. Naomba niishi kitakatifu niingie mbinguni. Nalipenda sana kanisa katoliki na watu wote. 18
@
@nyansokayowa9564last yearAsante mungu kwa zawadi hii ya mwaka 1990 nchinimungu kwa niumba mkristu makatori wa roma. 2
@
@ceciliachitanda10833 years agoNajivunia kuwa mkristo mkatoliki nakuomba mwenyezi mungu nijalie nife na imani yangu. 3
@
@elizabethwanza2688last yearAm soo happy to be a catholic, asante yesu. 3
@
@agnesmaumenee85922 years agoL' ternel seul est dieu! Lui seul toute la gloire, que tous le craignent et connaissent que l' ternel seul est dieu au nom de jsus christ amen. 5
@
@wabulegrace63352 years agoIam happy to have converted to catholic faith. 2
@
@manasseskamau53273 years agoI have never been a catholic but their music has some sacredness which makes the heart to yearn after fellowship with god. 4
@
@zawadimkambilwa73993 years agoUtume mwema katika bwana wetu yesu kristu. 3
@
@shahkibiki89663 years agoAsante yesu kwa kunifanya kuwa mkristo. Amina. 5
@
@esterpantaleo2463 years agoDaa! Kuna nyimbo ukizisikiliza unaweza kuhisi kama unapaa vile kwenda mbinguni. Daaa! Am proud to be a christian ( catholic. 5
@
@zawadimkambilwa73993 years agoAsante sana watumishi wa bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia. ...Expand1
@
@raymondmushi33103 years agoKaribu sana baba askofu mkuu marek solzwensky. 1
@
@kassiansigore16132 years agoEe mungu baba yetu waimalishe mapadri na maaskofu ili waweze kuchunga vyema kondoo wako. 2
@
@verono87663 years agoWow great following from kenya isebania parish. 4
@nimrodkasejere67173 years agoWow am watching it on a hospital bed but am rejuvenated. 8
@
@nasrahassanmasesa37453 years agoWimbo na upenda huu mimi nimewachanguw duniani ilimpatenda kwenda kuzaa matunda nice. 3
@
@veronicapaul28353 years agoEe mungu ongeza watenda kaz shamban mwako. 3
@
@ellyalunga96303 years agoMungu pekee yake ndiyeyeyote kukubali kuitwa mtakatifu ni chukizo.
@
@roselyneachieng76383 years agoEh mwenyezi mungu azidi kukutia nguvu akuongezee uchunge kondo. 1
@
@michaelndilima62103 years agoMungu naomba ulibariki sana kanisa langu katoriki. 2
@
@maliamwamtobemwamtobe10513 years agoHadi raha hamna vurugu za kuruka hu ok ndo ukatolm halisi.
@
@ronaldmsofe7926last yearHii nyimbo ya kwanza ya kuhani milele ni kwaya ipi wameimba na wimbo unaitwaje.
@
@fredrickgitonga19723 years agoAkuna mamba na ukuhana wakati huu kwa sabubu yesu kristo ndiye kuhani mkuu uko mbinguni soma maandiko matakatifu katika kitabu cha hebrews 1: 10.
@
@zegelibilishanga47613 years agoBaba anawekewa kapet nyeupe kama raisi jifunzen kwa baba asiko kigoma anavyojishusha na kazi zinasonga mbele. 1
@
@jwatchtowerjkt3 years agoSungguhuakkan. Slrh ritualitas mu. Sdr2ku katolik. Smua itu. Menghujat nama kudus allahbhk lbh Nab1: 15. Mkbranguss dr mka bmi. Ini. Sgrpaham. ...Expand
@
@zawadimkambilwa73993 years agoAsante sana watumishi wa bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia. ...Expand1
@
@jwatchtowerjkt3 years agoSungguhuakkan. Slrh ritualitas mu. Sdr2ku katolik. Smua itu. Menghujat nama kudus allahbhk lbh Nab1: 15. Mkbranguss dr mka bmi. Ini. Sgrpaham. ...Expand
Related videos for ''TAZAMA ANAKUJA KUHANI''BALOZI WA BABA MTAKATIFU ALIVYOWASILI ABASI YA ROHO MTAKATIFU MVIMWA..:
jifunzen kwa baba asiko kigoma anavyojishusha na kazi zinasonga mbele. 1