Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #Zinjibartv
Follow Zinjibartv
Facebook | Zinjibartv
INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 773 071 409
+255 773 878 523
Zinjibartv Journalists
cc: Safia Hussein
cc: Maryam Kidiko
cc: Abdillahi
Camera Department"
Abdillahi
Mohammed Abeid
Editors:
Mohammed Abeid
Ali Hassira
Video Zingine:
Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
- HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
/watch/I-0qPiHzwZBzq/watch/AGn4b51VuC_V4
@hanifatanzania72584 years agoMwinyi maashallah na mwalim sef muwekitukimoja allah awasimamie wote msafianenia na muongize kwa haki lnshallah. 6
@
@procurementmanager12894 years agoMashaalah. M/mungukwa yote mazito na atuongoze ktk njia ya haki. Inshaalah ameen. 3
@
@jumamzee69994 years agoMashaallah allah akufanyieni wepesi katika uongozi wenu mwema ameen. 5
@
@munirmgeni52804 years agoMungu atupe kheri na neema nyingi katika nchi yetu. 5
@
@hamudseif4 years agoWatuletee mashekhe wa uamsho ni muhimu kuliko chochote, viongoz madhalimu sana awa wanajivika vaz la kutuhadaa cc akat wameficha uchafu wa dhulma kwnye vifua vyao, allah atuklipen kuanzia apapa dunian insha allah. 4
@
@simbalion28714 years agoNakupenda my mwinyi naombaili furaha izidi allah mjuzi zaidi.
@
@jumammanga6754 years agoHongera sana ras wetu mungu akujalie malengo yako kwa wananchi ufanikiwe mungu akubarik inshaallha. 3
@
@sheikhajaffar69754 years agoDr hussein mwinyi na wenzio ili tuzidishe upendo kwenu mtutolee masheikh wetu nje ndio dua yenu itafika juu vinginevyo haivuki hata mnara wenu wa kisonge. ...Expand
@
@seakodammam22854 years agoNa mashehe muwatoe kama munataka wazanzibar wa kubali kuwa nia zenu ni njema. 6
@
@kanaanrajab89904 years agoA. Aleikum kiukweli inapendeza sana wanzanzibar kuwa kitu kimoja lovely you all allah tulinde na fitna za ndani na nje. 4
@
@skkonthetop88764 years agoMashaa allah tabaraka wataalah. Kwa khutba nzuri na ya maana sana ya mh. Dr. Rais hussain wa zanzibar.
@
@aishasaid67494 years agoIn shaa allah umoja huo udumu sio ukifika uchaguzi munavaa ngozi za chui mnatuona mbwa. 3
@
@abduliraimmushi22244 years agoMashaa allah kaka mwinyi uhoo ndiyo uraisi.
@
@salmamohd90604 years agoAllah awongoze ktk kheri lkn na kilio chetu kikubwa masheikh wetu. 11
@
@saidamohd12324 years agoNakupenda mpaka basi mheshimiwa raisi wangu kumbe sijafanya kosa kukupa kura yangu! Mungu akupe maisha marefu akupe wepesi na awashinde na walegee hao wasioipenda nchi yetu. Nakutakia kila la kheri.
@
@mohammedmbarouk57294 years agoKila la kheri mh. Mteule wetu wa kule dodoma, mungu akusimamieni ktk kila hatua mtakayopitia ktk hayo maendeleo ya wazanzibar wanyonge.
@
@gadielmungure70294 years agoHongera mh rais mwinyi na seifu maalim kwa maridhiano na kuunganisha wazanzibar kuwa wamoja umeonesha uongozi bora si bora uongozi.
@
@muhammadmuhammad50434 years agoMashaallah allah akujaaliye uwepo umoje mziri mungano wetu tutoleeni masheikh wewe nao hayo maombi yetu ilitungano nao.
@
@tuterlakapo20164 years ago" alhamdulil' lah. Mashaallah hkk ni maneno mazito ya mh. Dkt. Mwinyi. Ambayo yana wingi wa busara na mazingatio ndaniyke. Anaonyesha wazi ya. ...Expand
@
@zakwani8854 years agoTumefurahi sote wa nje nawandani ya. Nchi m mungu awajalie kila la kher na mafanikio mema na ahadi muitekeleze usitiwe ushawishi na wa baya uwe makini na allah yuko pamoja na nyie na maelekeo mema ameen.
@
@alialibablly70104 years agoNa muujue wapo walio ridhika maridhiano na wengine bado na kuridhika kote na upendo uzidi kiu ya wazanzibar kuona masheikh wakizanzibar wanarudishwa znz. 4
@
@mudy46044 years agoTumuombe mungu atufikishe baada y miak 5 tumjua mnafiq. 4
@
@mamunote35074 years agoMabrukeen wanzanzibar wote alwah atupe upendo wa dhati na tushikamane kwa kuendeleza zanzibar na tanzania wote kwa ujumla.
@
@z.nalnabhani71944 years agoRais mwinyi ni kiongozi mazuri allah awasimamie pamoja na maalim seif. 10
@
@maryamali10193 years agoAllah awajaalie kila lakheri raisi wetu mpendwa ukiwa sambamba na maalim seif allah awape nguvu za kutekeleza yale muliyo yaahidi kwani ahadi nizenye kuulizwa mbele ya m/mungu. Jitahidi sana mh rais.
@
@mwambamkombozi46724 years agoTungependa kusikia maneno mazuri kwa ndugu zetu waliopoteza maisha kwa ajili ya uchaguzi (uchafuzi) pamoja na wale ambao wamejeruhiwa.
@
@mrfroasty4 years agoMasheikh wetu jamani wanasota jela. Maasalaam.
@
@alialibablly70104 years agoHalafu tv muache ubaguzi wa vyama km mnataka maendeleo ni kwa vyama vyote si mutangaze matangazo ya dini wakati muna ubaguzi tunawangalia tu ila mungu anawangalia vizuri hii dunia mapito akhera kuhesabiwa. 1
@
@mrjagenmuuz57044 years agoUchaguz aman hakuwepo wa usalama tushukuru mungu tuu kwamba vurugu lmesha waloumzwa wanauguza majeraha yao na walokufa allah awarehemu.
@
@salimsaid83484 years agoBango la kisonnge bado linaweka chuki kwa wananchi ni bora uliondowe rais wetu. 6
@mariamfaki11664 years agoUtaimaliza misikiti mara hii haisadii uliyoyafanya tutayakuta hapana shaka kwa hilo kwani uchaguzi haukua wa haki usiwadanganye watu mungu anakuona haya ya dunia tutayaacha kazi ipo huko twendako yarab. 2
@
@muhammadmuhammad50434 years agoNasisi tunakuomba masheikh wetu uwatoee tushirikiane. 3
@
@cadabra74024 years agoMashekhe wetu tunawaombaa haraka iwezekanavyo, na kwa waliodhulumiwa sio sisi ambao tunatoa msamaha, ispokuwa ni allah (s. W) na pamoja na kuwaomba radhi kwa mliowajeruhi na kuwapoteza watu wao.
@
@TeamKRX4 years agoNimeamini ugomvi wa ndugu maisha yote usijaribu kabisaa kuungilia matokeo yale unapata fedheha mwisho wake utaanguka iso chini.
@
@TeamKRX4 years agoInapendeza lakini mashalah ila inauma viongozi zzz wa ccm mbona mushazisahau hivi zikri.
@
@rashidkhalfan75564 years agoMnapendaa kuchanganya dini na siasa ss mbona hao masheikh mnaendelea kuwatesa mungu anawaona nyinyi wacheni unafiki mungu mkubwa sana.
@
@axmedcali50974 years agoNa vile ogopeni kwenda kuulizwa kuhusu kuwatia gerezani mashehe. 1
@
@kisa60224 years agoVery sad. Uchaguzi umepita kwa salama na amani. Mhhh. 2
@
@mohammedmbarouk57294 years agoHaki haipo nchi hii tangu hapo kale tusidanganyike bahna.
@
@abdulhamidhaji50564 years agoNa mashekhe wetu muwatowe kule waliko, wana familia zao zinahitaji huduma zao.
@
@fakihdarusi43854 years agoMh! Kwakwli pia tutajikia faraja wale ndgu zetu wakitolewa kule rumande.
@
@TeamKRX4 years agoMagu jeshi lako limezaa matunda imebaki kwako.
@
@mohammedmbarouk57294 years agoKumbe na ss wazanzibar tuna nchihaiyonekani kama iko hvyo?
@
@salimseif54914 years agoUchaguzi haukupita kwausipotoshe, au hukuona walena kutiwa ndani kwa makosa ya kubandikizw.
@
@sudaissoud36704 years agoUnajua kua dhulumati wataka tusikumbushe.
@
@omqnoman99154 years agoTunakuomba muwatoe mashehe jamani rais mwinyi na maalim seif mashehe jamni.
@
@hafsamansoor39774 years agoMaamuzi yawe yenu wenyewe bila kutokea bara mtakwama. masheikh wetu vipi.
@
@sayidabdillah85054 years agoKiongizi wetu mwinyi tunamuomba mungu akupe nguvu but pia tunamuomba uwatowe nje wale mashekh wetu lakini pia usimamie kuondoshwa kwa kuandikwa maneno. ...Expand
@
@abuubakalmtangenange43894 years agoZanzibar ingekua nchi masheikh wetu wa uamsho wasngetolewa zanzibar na kuletwa tanganyika hali ya kua zanzibar nchi mimi mtanganyika ila siungi mkono zanzibar.
@
@hajishaibu82954 years agoNgoja uchaguzi ufike 2025 ndio tutajua.
@
@hauranyussuf52774 years agoHapo hamna mashekhe kuna wanafiki tu waisilamu wezunu wapo jala hamna hata mmoja wenu alofungua mdomo kawatetea.
@
@hajimakame10624 years agoHaikubaliki dua iyoo mnaimba tu apo mtu akaomba dua hulia nyie mwacheka tu apo wanafiki wakubwa njie odokeni apo na nyimbo yenu iyoo wanafiki wakubwa njiee.
@
@riemagwada31784 years agoTunawaombea mashke walio fungwa bila atia muwasahee watoke inje waulumieni.
@
@jumakapilima56744 years agoMngefanya hivyo siku zote, mengine yote, siasa sio uadui wala chuki, hayo ndio.
@
@mohammedmbarouk57294 years agoKama ni nchi mbn hatuna maamuzi yetu kama nchi? Tuna mteule alieteuliwa kule dodoma na watanganyika?
@
@bableeyzabdalla5314 years agoHuyo hussein mwinyi ni mnafiki kama shein wanalao ndani ya nafsi ccm sio wakweli niwanafiki kwa dua hio sikweli je wale waliowauwa kwa ajili lazima ashinde urais familia zao wamezifidia kama dini inavosema.
@
@nassorrashid28574 years agoTunataka masheikh wetu watoke kama kweli unataka amani laa si hivyo hakuna amani. pia ccm huwa mnapenda maridhiano mkimaliza uchaguzi lkn tukianza uchaguzi maridhiano mnayaondoa sasa ole wenu.
@
@mohammedlaabry57994 years agoSipendi kusema uchaguzi ulikuwa wa haki na huru ufala mtupu.
@
@alijuma11894 years agoMie rais mwinyi simuamini mpaka nione mashekhe zetu wametoka jela.
@
@abuubakalmtangenange43894 years agoMikanzu na mikofia mikubwa mikoti mpaka wanahic joto waislam wenzao wapo jela wao hata habari hawana ndio maana nasema zanzibar sio nchi wala hussen sio rais ni mkuu wa mkoa.
@
@biramsakh92124 years agoHaki iwapi tusubir uchaguzi tu tuje tuone kimbembe. Kuliko majoka wana geuka ccm. Sie letu jicho nakuomba salama. 4
@
@aminahhamed7474 years agoUnajidanganya uitwae rais mwinyi hapo ulipo km c bunduki na mabomu usingekuwepo hio in dhulma kwa hio jiandae kesho mbele ya hakimu wa mahakimu insha allah. 10
@
@BigBoss-jk6fk4 years agoHilo bibi vipi eti uchaguzi ulikua wa amaani na utulivu linasema uwongo kama watu hawajui ukweli. Yaani hata halina haya duh domo kama matako. 1
@
@ramlamohammed57734 years agoMutaulizwa wale mulowaua na kuwavunja na kuwauliza na kuwadhulumu vichwa vao vinawangoja mbele ya allah kama wewe umeshasahau yeye ameandika katika kitabu. ...Expand2
@
@abuubakalmtangenange43894 years agoMwinyi wewe kibaraka wa tanganyika umechaguliwa dodoma na umechaguliwa na ccm uwezi kufanya lolote uwezi kuwapinga mabwana zako.
@
@nawwafomar45184 years agoBila dola na tume uchaguzi ccm haijawahi kushinda na haitashinda kura yeyote milele. 2
@
@saeedabunajash62354 years agoWewe mtangazaji vipi " kumaliza uchaguzi na amani" amani tena! Ulikuwa hupo masiku ya uchaguzi nini.
@
@rashidally11494 years agoIli uoneshe nia ya moyo mkunjufu ni kukiri yaliotendeka na uombe radhi kwa yaliotendeka. 2
@
@ommyd55174 years agoWakisha fanya ufuska wao badae wanajifnya watu wema. 3
@
@salimmauly95754 years agoUchaguzi wa amani huyu malaya vipi alikuwa mgonjwa wakati wa kipindi cha uchaguzi. 1
@
@nawwafomar45184 years agoCcm wamedhulumu wameiba kura wamrvunja watu miguu unguja na pemba laana ya mungu iwe juu yao wao na familia zao moto wa jahanamu iwe hukumu yao wote waliopanga kutenda udhalimu huu laanatul llahi.
@
@salukanambali70094 years agoMh makamo wa rais umefanya uungwana sasa tunataka wale wafadhiri uliokuwa unasema watakuja kuleta maendeleo znz sasa walete znz. Waambie waje znz. 1
Related videos for MANENO MAZITO YA DKT MWINYI MBELE YA MAALIM SEIF:
wataalah. Kwa khutba
nzuri na ya maana sana
ya mh. Dr. Rais hussain
wa zanzibar.
alwah atupe upendo wa dhati na tushikamane kwa kuendeleza
zanzibar na tanzania wote kwa ujumla.
masheikh wetu vipi.
pia ccm huwa mnapenda maridhiano mkimaliza uchaguzi lkn tukianza uchaguzi maridhiano mnayaondoa sasa ole wenu.