Duration 3:38

Othman Masoud kuitumikia ajenda ya ACT kikamilifu

3 132 watched
0
29
Published 19 Jun 2021

Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amewaahidi viongozi pamoja na wanachama wa chama hicho kuwa ataendelea kuitumikia nchi pamoja na chama ili kuona dhamira ya chama hicho inafikiwa. Aliyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha Kamati Kuu ya ACT Wazalendo kilichofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada iliyopo Ilala Boma jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutambulishwa kwa wajumbe wa Kamati hiyo ambayo ni mara yake ya kwanza kuhudhuria vikao vyake tangu kuteuliwa kumrithi aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, aliyefariki dunia Februari mwaka huu.

Category

Show more

Comments - 7