Fid Q ni moja ya watu waliowahi kufanya kazi na Ngwair, na ameelezea alichokifanywa ambacho Fid Q hakutegemea na kuamua kumwambia Majani na kumlazimu kufanya mabadiliko.
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
http://www.instagram.com/lilommyhttp://www.twitter.com/LilOmmyhttp://www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com
@GeraldGspack4 months agoMany artist will never level up to ngwea dude knew how to drop hits his talent was unmatched. Cnn my favourite song.
@
@yaoboyrb81616 years agoRest in peace albert mangwair. We pray for you hommie. congrats to lilommy kwa kuperfom vizur katka angle yako. 8
@
@msaflus24926 years agoDaah. Kweli brother fid hakuna asiye na mapungufu yake. 13
@
@muganzababingwa24345 years agoHiyo ni kweli sana kijana fid. Q. Nimekupata kama mm sijaona mpinzani tanzania kama mangwear ukimuona niambiye. 2
@
@severinaraymondanthony21336 years agoLala babapumzika kwa aman niko nyuma yako. 8
@
@andrew-kitwanambogger82426 years agoR. I. P ngwair " a. K. A mimi bado inaimbwa mitaani kama karaoke " 5
@
@fadhilimohamed6306 years agoSijapata msanii mpaka leo baada ya kuondoka albert. Nilikuja kuamini kama kile kichwa bongo hamna ngoma ya a. K. A mimi. Na lazima kichwa kiwe vizuri sana. Ndo utaelewa. 1
@
@alexlutengano6876 years agoNoma sana kichwa hiki saruti broo pumzika kwa amani. 1
@
@abbasamrani25864 years agoNtakukumbuka maisha yng yote albert mangwear maana ngoma zako nakumbuka kipindi kile nipo kijana mdogo zilikua zinanisisismua xana yaan nilikua ctamani ngoma zako ziishe we ni zaidi ya msanii yeyote yule tanzania hii. 2
@
@brightkarema42976 years agoWe shared a name even the yr was born and the month r. I. P. 2
@
@amospambala94136 years agoEbwana ngoma yake ya kimya pale mshikaji ananikosha kinyama. 8
@
@jafarisintoo37436 years agoNgoma kibao, of free style ever. 4
@
@santodelove43516 years agoNaimani atanizalia mapacha na sitijali bahati mbaya akiwa tasa naapa sitoweza kumuacha yote ni sababu tu she got gwan. 5
@
@amospambala94136 years agoNgwear mwenyewe alisema pengo lake halina spear. Na nikweli mpaka sasa hajatokea kama yeye tena. 4
@
@geraldmstaulo98196 years agoSijui namsahihisha wapi albert instine wa hiphop ya bongo. nakumbuka kila ngoma ila kuna moja aliita international known.
@
@macmax77676 years agoAlale pema ngair one of the best no doubt.
@
@xaverysunday18865 years agoToka team media makambako town jamaa alikuwa fundi.
@
@innocentjackson81566 years agoNakumbuka mistari kuntu toka kwenye ngoma ya she got a gwan. 1
@
@ahmadlitwe71905 years agoFid mwanahesabati mwalimu wa hiphop ameongea jambo lililopo katika maisha waelevu wachache wataelewa. 2
@
@draqula42876 years agoNakumbuka ngoma ya mikasi manze bingwa wa hiphop bongo.
@
@leonardmbito64886 years agoYani uyu jamaa kujikuta ana mistali mikali mc mkali. Wakati kuna vichwa ad now anakaa vzuli tu.
@
@jameschanja83046 years agoRip cow bama pengo lako hakiaka halina spare. 3
@
@sibiromallya58946 years agoCnn juu kesha kula bata burudani ziendele cnn. 1
@
@joshuawicklifu28766 years agoPamoja na kufuta verse bado ulipotea mzee baba. 15
@
@phdhemedy50646 years agoYeye ametangulia nasisi tutafatia kwan ss ni vpolo kikubwa dua tu.
@
@tonymnyamatv84836 years agoAngekuwa hai wala usingemsifia hivo wala usingesema kama ulifunikwa maana najuwaga unafiki wa wasanii wabongo, kila siku tunasikia mabishano ya wasanii ooh flani nimemfunika badae akifa utasikia eti fulani alinifunika. 1
@
@ahmedmussa82316 years agoHawatoweza albat mkali wengine wanacheza tu.
@
@feisalmhina71462 years agoNgwair alikua anajua! Lkn kiuhalisia ngwair hauwezi mziki wa kubanda, farid anajua hiphop east africa nzima hakuna.
Related videos for Ngwair alichonifanyia sikuamini, Nilifuta Verse yangu - Fid Q:
congrats to lilommy kwa kuperfom vizur katka angle yako. 8
of free style ever. 4
nakumbuka kila ngoma ila kuna moja aliita international known.
burudani ziendele cnn. 1