Duration 7:33

Mbunge CHADEMA Alivyotolewa Bungeni Leo I Adai Kudhalilishwa I Asema Watamalizana Nje

68 246 watched
0
283
Published 12 Jun 2020

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemtoa nje ya Bunge, Mbunge Yosepher Komba, Viti Maalum(CHADEMA) baada ya kutokea mvutano akilalamika kudhalilishwa na Jackline Msongozi Mbunge wa Viti Maalum(CCM). Wakati akichangia, Mbunge Jackline amegusia suala la unyanyasaji wa kingono alioeleza upo CHADEMA akisema Mbunge Yosepher aliwahi kumlalamikia juu ya suala hilo #Bajeti2020 #CloudsDigitalUpdates

Category

Show more

Comments - 236