MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata ameiomba Serikali kupunguza matuta 270 yaliyopo kwenye barabara ya Tunduma-Sumbawanga ambayo ni kero na huwachosha abiria na madereva wanapofika mwisho wa safari.
Pamoja na mambo mengine, Mwakang'ata alitoa mchango huo wakati wa mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali bungeni Dodoma Juni 16, 2021.
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for MATUTA 270 YALIYOPO BARABARA YA TUNDUMA-SUMBAWANGA NI KERO, PUNGUZENI-MBUNGE MWAKANG'ATA: