Duration 3:7

Mnyama wa Kipekee Nyeri

14 210 watched
0
38
Published 13 Oct 2012

Streaming LIVE from Kenya at http://www.ktnkenya.tv . Mara kwa mara watu hupata fursa ya kuwatizama viumbe ambavyo hawajawahi kuvitia macho hapo kabla. Na ni katika hifadhi moja huko Nyeri ambapo ktn leo ilipata fursa ya kumuona mnyama anayefanana na ngamia, mbuzi na hata mbuni kwa pamoja. Ni mnyama anayejulikana kama lama, asili yake ni marekani kusini. Tuliarifiwa kuwa ngozi ya lama ndio hutoa nyuzi bora zaidi na thamani yake ni kubwa. Carol Nderi aliitembelea hifadhi hiyo ya wanyama pori ya chuo kikuu cha Kimathi na kushuhudia aina sitini ya wanyama tofauti ambao asili yao haijulikani sana hapa nchini.

Category

Show more

Comments - 5