#prepoo #4chair #aloevera
Prepoo ni utaratibu wa kuandaa nywele kaba ya kuosha ambao awali ulihusisha kupaka mafuta yanayopenya kwenye nywele ili kuzuia nywele kufyonza maji mengi na kupelekea kukatika. Utaratibu huu unatoa nafasi ya kurutubisha nywele pia na hivyo hii prepoo oil ina virutubisho vingi vinavyosaidia kukuza nywele ndefu na zenye afya.
MUSIC:
Infinite by Valence
No Copyright Sounds
/watch/8GQg74DqoHQqg
Royalty Free Music from Bensound
https://www.bensound.com/royalty-free-music/track/summer-chill-relaxed-tropical
Category
Show more
Comments - 7
Related videos for Jinsi ya Kulinda Nywele Zisikatike Wakati wa Kuosha | Prepoo Oil: