Sheikh Shariff Islam Mubarak ameongoza dua katika kituo cha Al-Bayaan Dua Centre kilichopo Mtaa wa Zinga Nyumba namba 14 Magomeni Kondoa, jijini Dar es salaam Tanzania. Siku ya Jumapili Tarehe 15/November/2020. Subscribe ili kupata update zote Kutoka Al-Bayaan Dua Centre
Tunawakumbusha kutufuata katika tuvuti yetu ya *YouTube* ili uweze kuunganishwa kwa live programs zitakazoanza kupeperushwa hivi karibuni.
*Kumbuka ku share ujumbe huu kwa wingi iwezekanavyo* watumie wote uwapendao.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi Al Bayaana Dua Center +255653732303
Ili Ku *Subscribe* kwa channel yetu bonyeza hapa /channel/UCE7m1DbS8tE4kY-D_KeZRVg