@husseinbakromar58653 years agoIngekua ni taraab yaimbwa wengi wengienuka wakamtuza muimbaji ila ustadh anatoa visa va mitume hakuna hata mmoja kimemgusa akamtuza ustadh allah akupe umri na afya inshallah. 3
@
@bellbell92943 years agoShukraan sana sheikh wetu allah akuhifadhi naakujaalie jannah firdaus aamiin. 3
@
@KingKhan-us8dt2 years agoJazzaka lau kher allah akuzidishie malamia ya icho kidogo ambacho umetufikishia.
@
@nohatredbutlove57865 years agoSheikh kisa kizuri maashallaah, lakini inaonyesha ushakizoea sana, hivyo hata huihusishi sana akili yako wakatiuwe makini kwa maana kuna vitu kadhaa umevisimulia tofauti na uhalisia wake. 3
Related videos for FUATANA NA MWAMBA ANUALLY KTK VISA NA MIKASA YA KUSISIMUA YA NABII MUSA.. 2019 julai 7: