Duration 4:30

Magoli Yanga SC ikiichabanga Tanzania Prisons 1-2 | NBC Premier League

468 597 watched
0
2.1 K
Published 19 Dec 2021

Tazama magoli yote wakati Yanga SC ikibeba alama tatu za NBC Premier League kwenye mchezo uliomalizika kwa ushindi wa mabao 1-2 dimbani Nelson Mandela. Samsong Mbangula akaifungia Prisons. Feisal Salum na Khalid Aucho wakaifungia Yanga SC

Category

Show more

Comments - 187