Duration 1:12

Wakazi wa kijiji alichozaliwa Lissu wazungumzia uteuzi wake

2 164 watched
0
12
Published 4 Aug 2020

Wakazi wa Kijiji cha Mahambe wilayani Ikungi, Singida, mahali alipozaliwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo #Chadema- Tundu Lissu wametoa mitazamo yao kuhusu uamuzi wa kamati kuu kupitisha jina la kijana wa kijiji hicho. #UchaguziMkuu2020 #Chadema #MgombeaUraisChadema AzamTVUpdates Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 9