Duration 23:3

VITASA | Twaha Kiduku alivyomtwanga Dullah Mbabe -

1 634 778 watched
0
5.4 K
Published 24 Aug 2021

Tazama nginjanginja, mikikimikiki ya Dullah Mbabe na Twaha Kiduku kwenye pambano lililovuta hisia za wapenda ngumi. Twaha Kiduku alikalishwa raundi ya kwanza tu ya pambano, lakini baada ya hapo yaliyofuata ni maajabu. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 302