Duration 4600

SERIKALI YA AWAMU YA SITA SHIRIKA LIPO IMARA KAZI IENDELEE

76 watched
0
1
Published 10 Jun 2021

#tanzania_unforgetable #Tanzania #MakaoMakuuDodoma #Kilimanjaro #Dodoma #kazi iendelee Bw. MUUNGANO SAGUYA Meneja Habari ya Mahusiano walikuwepo mapema leo kwenye #Jotolaasubuhi Kutoka NHC walipita leo kuzungumzia miradi mbalimbali inayosimamiwa na NHC ikiwemo mradi wa Morocco na kueleza mipango na maendelea ya inayoendelea Nchi nzima. Pia kama NHC wako mbioni kuanzisha kiwanda kwa ajili ya malighafi za ujenzi kama matofali,mabati , nondo na vifaa vingine ilikuweza kujenga nyumba nyingi ambazo zitakua na gharama nafuu kwa watanzania. #JotoLaAsubuhi

Category

Show more

Comments - 0